«  Sura ijayo   |   Chagua sura   |   Kitabu kijacho  »

Zaburi 134

1  Tazama, enyi watumishi wa Bwana, Mhimidini Bwana, nyote pia. Ninyi mnaosimama usiku Katika nyumba ya Bwana.

2  Painulieni patakatifu mikono yenu, Na kumhimidi Bwana.

3  Bwana akubariki toka Sayuni, Aliyezifanya mbingu na nchi.

«  Sura ijayo   |   Chagua sura   |   Kitabu kijacho  »
“Neema ya Bwana Yesu na iwe pamoja nanyi.” — 1 Wakorintho 16:23