«  Sura ijayo   |   Chagua sura   |   Kitabu kijacho  »

Zaburi 117

1  Haleluya. Enyi mataifa yote, msifuni Bwana, Enyi watu wote, mhimidini.

2  Maana fadhili zake kwetu sisi ni kuu, Na uaminifu wa Bwana ni wa milele.

«  Sura ijayo   |   Chagua sura   |   Kitabu kijacho  »
“Neema ya Bwana Yesu na iwe pamoja nanyi.” — 1 Wakorintho 16:23